DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA WAZEE WA CCM WILAYA YA AMANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wanachama na Viongozi wa CCM cha wakati alipohudhuria katika mkutano wa ndani na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani,


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu wa CCM Wilaya ya Amani Kichama Nd,Abdalla Mwinyi Hassan pamoja na Viongozi wengine wakati alipohudhuria katika mkutano wa ndani na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwaangalia wasanii wa kikundi cha ngoma cha Chama mara alipowasili katika viwanja Ofisi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa Amani leo wakati alipohudhuria katika mkutano wa ndani na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala (Mabodi) pamoja na Viongozi wengine wakati alipohudhuria katika mkutano wa ndani na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake alipofanya mkutano wa ndani na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alioufanya na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama leo katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika mkutano na Wazee hao, uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika mkutano na Wazee hao, uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani Kichama Juma Khamis Haji alipokuwa akitoa salamu zake na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama katika Mkutano wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake wakati alipofanya Mkutano wa ndani na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani,[Picha na Ikulu] 16/11/2019.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post