Basi la kampuni ya Majinjah Lapata Ajali Basi la kampuni ya Majinjah Lapata Ajali

Basi la kampuni ya Majinjah ambalo lilikuwa safarini kutoka Kyela kuelekea Dar, limepata ajali maeneo ya Kitonga leo.
Mashuhuda wanadai chanzo cha ajali ni kufeli kwa breki za basi hilo.
RPC Iringa amesema tayari RTO ameelekea eneo la tukio na baadae watatoa taarifa kwa undani.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post