Waandishi Zanzibar wahudhuria mkutano wenye lengo la kutoa taarifa ya kuondoa Adhabu,Riba na Faini kwa walipa kodi mwaka 2019
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano kuhusiana na Taarifa ya kuondoa Adhabu,Riba na Faini mwaka 2019 kwa malengo ya kutoa Fursa kwa walipa kodi kusawazisha madeni yao hafla iliofanyika ukumbi wa ZRB Mazizini Zanzibar.
Meneja Uhusiano na Huduma kwa walipa kodi Bodi ya Mapato Zanzibar ZRB Shaaban Yahya Ramadhan akitoa ufafanuzi kuhusiana naTaarifa ya kuondoa Adhabu,Riba na Faini mwaka 2019 kwa malengo ya kutoa Fursa kwa walipa kodi kusawazisha madeni yao hafla iliofanyika ukumbi wa ZRB Mazizini Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa Hits Fm Rehema Juma Mema akiuliza maswali katika Mkutano kuhusiana na Taarifa ya kuondoa Adhabu,Riba na Faini mwaka 2019 kwa malengo ya kutoa Fursa kwa walipa kodi kusawazisha madeni yao hafla iliofanyika ukumbi wa ZRB Mazizini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post