WAJUMBE CPA KANDA YA AFRIKA WAKUTANA KATIKA MKUTANO MKUU VISIWANI ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Mhe. Justin Muturi akiongoza kikao cha Mkutano huo mbele ya Wajumbe wa Jumuiya hicho katika hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa Visiwani Zanzibar. Kushoto kwake ni Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job Ndugai na kulia kwake ni Katibu wa Bunge la Tanzania, Ndg. Stephen Kagaigai
Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika Tawi la Zanzibar, Mhe. Simai Mohamed Said akichangia jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, katika hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa Visiwani Zanzibar.
Wajumbe Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika wakiwa  kwenye kikao cha Mkutano Mkuu wa 50 wa Chama hicho katika hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa Visiwani Zanzibar.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post