Mahakama Kuu Yaridhia kuapishwa kwa Mrithi wa Tundu Lissu Jimbo la Singida Mashariki
Mahakama Kuu ya Tanzania imeridhia Mbunge mteule wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CCM, Mhe. Miraji Mtaturu kuapishwa bungeni leo Septemba 3, 2019 na imedai kuwa maombi rasmi ya Mhe. Tundu Lissu kupinga baadhi ya mambo yatatolewa Septemba 9, 2019.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post