DKT SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA WANACHAMA WA MUUNGANO WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA (UTPC), ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa UTPC Deogratias Nsokolo alipowasili katika viwanja vya ukumbi Idris Abdul Wakili Vuga Mjini Zanzibar katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC uliofanyika leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Anders SjĂžberg alipowasili katika viwanja vya ukumbi Idris Abdul Wakili Vuga Mjini Zanzibar leo katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC wakiwa katika ufunguzi mkutano huo uliofunguliwa leo na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi Idrisa Abdul Wakili Vuga Mjini Zanzibar
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa klabu za Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC wakiwa katika ukumbi Idrisa Abdul Wakili Vuga Mjini Zanzibar katika ufunguzi wa mkuitano huo uliofanywa leo na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi wengine katika Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC uliofanyika leo katika ukumbi Idris Abdul Wakili, Vuga Mjini Zanzibar,(wa tatu kulia) Rais wa UTPC Deogratias Nsokolo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akitoa hutuba yake katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC uliofanyika leo katika ukumbi wa Idris AbdulWakil,Vuga Mjini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akitoa hutuba yake katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC uliofanyika leo katika ukumbi wa Idris AbdulWakil,Vuga Mjini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akitoa hutuba yake katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC uliofanyika leo katika ukumbi wa Idris AbdulWakil,Vuga Mjini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 07/09/2019.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post