WADAU WA USAFIRISHAJI WAGOMEA LATRA RASIMU MPYA YA SHERIA YA USAFIRISHAJI

kaimu katibu mkuu wizara ya Ujenzi mawasiliano na uchukuzi Haron kisaka akiongea na wadau wa huduma za usafirishaji kanda ya kaskazini inayosimamiwa na Latra kwenye ukumbi wa mkuu wa mkoa Arusha Leo jijini hapa Picha na Ahmed Mahmoud Arusha


Add caption
Meza kuu  wakimsikiliza Mkurugenzi wa huduma za uchukuzi na usafirishaji wizara ya Ujenzi mawasiliano na uchukuzi Haron Kisaka wakati akifungua mkutano wa wadau wa huduma za usafirishaji kanda ya kaskazini inayosimamiwa na Latra kwenye ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa Arusha Leo jijini hapa picha na Ahmed Mahmoud Arusha
Add captionPichani ni sehemu ya wadau wa huduma za usafirishaji kanda ya kaskazini inayosimamiwa na Latra wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa mkutano wao na Latra kwenye ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa Arusha Leo jijini hapa picha na Ahmed Mahmoud Arusha

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post