No titleMkurugenzi Mtendaji wa UTPC Abubakar Karsan, akionyesha moja ya majarida yanayochapishwa na umoja huo, katika mafunzo ya ufuatiliaji wa fedha za miradi ya umma. Kulia ni mwezeshajiwa semina hiyo Pantaleo Shoki na Kushoto ni Mwenyekiti wa APC Claud Gwandu.

Washiriki wa katika semina ya  mafunzo ya ufuatiliaji wa fedha za miradi ya umma.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post