Basi la Zubeir latumbukia mtoni,

 Basi la kampuni ya Zuberi linalofanya safari zake kutoka Mwanza kwenda Kahama limepata ajali katika eneo la Mwigumbi Darajani.

Jeshi la Polisi Shinyanga limethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kuahidi kutoa taarifa zaidi baada ya kufanya tathmini kamili.

Endelea kufuatilia mtandao huu,tutawaletea taarifa kamili punde tutakapokamilisha kufuatilia kwenye mamlaka ili kujua madhara yaliyotokana na ajali hii.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post