MATUKIO KATIKA PICHA: Tanroad katika maandalizi ya wiki ya nenda kwa usalama kesho Arusha

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania ( TANROADS) Eng. Rogatus Mativila akipata maelezo kutoka kwa Wataalamu wa TANROADS alipotembelea banda la Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi mapema Leo Jumatatu Novemba 22, 2021 katika maandalizi ya Wiki ya "Nenda kwa Usalama Barabarani ' ambapo TANROADS inashiriki kuanzia Novemba 23 hadi Novemba 27, 2021 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha .


This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post