DONDOO HOTUBA YA RAIS SAMIA NA ONYO KWA TRA

TRA nataka muache matumizi ya nguvu na ubabe kwenye kukusanya kodi Haisaidii. 

Inaweza kusaidia kwa muda mfupi lalini sio sustainable. 

Unamkamata mtu unamtwisha kodi ya mabilioni.

 Halafu unamtishia asipolipa unamfungulia kesi ya uhujumu uchumi. Anaamua kufilisi biashara yake ili akulipe na akwepe kwenda jela.

 Lakini njia hiyo haiwezi kutusaidia kwa muda mrefu. 

Mtu hata akikulipa mabilioni ya kodi leo, lakini biashara yake ikafa, kesho mtapata wapi tena kodi? Kwahiyo kakusanyeni kodi lakini si kwa mabavu.

 Kodi tunazitaka lakini kodi za dhuluma hapana"

Mhe.Rais Mama Samia Suluhu Hasaan,

06 April 2021, Ikulu, Dar.!

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post