INFINIX HOT 10 play YAZINDULIWA RASMI.

 Na Mwandishi Wetu

Katika ulimwengu wa kisasa simu janja ni chombo muhimu sana katika pirikapirika za kila siku lakini ni vipi unaweza timiza malengo yako ya siku pasipo kuwa na Infinix HOT 10 play yenye battery yenye ujazo wa mAh 6000. 


Kampuni ya simu Infinix ilitangaza Infinix Hot 10 na Hot 10 Lite mwaka jana, na mnamo wiki ya jana kampuni hiyo imeongeza simu mpya katika toleo hilo la HOT 10 yenye kufahamika kama HOT 10 play.


Akizungumza na waandishi wa habari kutoka kwenye ofisi zetu, Afisa Mahusiano Aisha Karupa alisema,

“Infinix HOT 10play tumeitambulisha rasmi kupitia mtandao wa kijamii @infinixmobiletz 28/1/2021, ni simu ya kila mtu, ni simu rafiki kwa wenye kipato cha kati na cha chini pia na ni rafiki kwa anaefikiria kuingia katika ulimwengu wa simu janja, basi Infinix HOT 10 play ni simu sahihi kwake, Infinix HOT 10 play inapatikana katika maduka yote ya simu ikiwa na sifa zifuatazo kama vile mAh6000 za battery zenyekukuhakikishia matumizi ya simu yako kwa siku nzima na zaidi”.

                                                                                    

                                                                            “Infinix Hot 10 play inaendeshwa na processor ya Helio G25 SoC na Android 10 (Toleo la Go) XOS 7.1.

Muonekano wa mbele wa Infinix HOT 10 play umetawaliwa na wigo mpana wa kioo chenye inchi 6.82 HD na MP 8 za kamera. Muonekano wa nyuma wa Infinix HOT 10play ni wakupendeza ulionakshiwa na MP 13 za  kamera mbili pamoja na finger print. 


Uwezo wa kuhifadhi vitu/kumbukumbu/memory ni mkubwa. HOT 10 play inaujazo wa GB2/GB32 na GB4/64GB zenye nafasi kubwa kwa uhifadhiaji kumbukumbu nyingi sana kama vile picha, video, miziki na kadhalika” alimalizia.


Tembelea katika maduka yote ya simu ili kujipatia Infinix HOT 10 play sasa kutoka Infinix, vile vile usiache kutembelea https://www.infinixmobility.com/tz/ .

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post