DIVA AWEKA WAZI SABABU YA KUTOFAUTIANA NA DIAMOND PLATNUMZ/ ALLI KIBA ATAJWA.


 Mtangazaji Diva ameweka wazi sababu ya yeye kutofautiana na Diamond Platnumz hadi kufikia kupelekana mahakamani ni baada ya kusikia msanii huyo amesema aliomba kazi kwenye Radio ya msanii huyo.

Diva aliendelea kuekeza kwamba pia sababu nyingine ni yeye kuwa upande wa Msanii Alikiba na Diamond hakupenda.

Katika mahojiano na Zamaradi TV, Licha hayo Diva alisisitiza kusena yeye anampenda Msanii Alikiba na ni shabiki mkubwa wa nyimbo zake.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post