TCAA YATOA MAFUNZO YA SIKU 1 KWA WANAFUNZI NGAZA NA NSUMBA MWANZA
 Na,Swalehe Juma Matukio Daima Mwanza.


Mamlaka ya usafiri wa anga nchini (TCAA) imetoa mafunzo ya siku moja kwa wanafunzi wa shule ya Sekondari Ngaza pamoja na Shule ya Sekondari Nsumba Jijini Mwanza.


 Yenye lengo la kuwajengea vijana hao fursa mbalimbali ambazo zinapatikana katika Mamlaka ya usafiri wa anga.


Baada ya kugundua awana uelewa wa kutosha kuhusiana na mamlaka ya usafiri huo.


Pia waweze kujua fursa mbalimbali zinazopatikana katika mamlaka  hiyo ambapo mafunzo hayo yatafanyika mikoa mbalimbali ya Tanzania ikiwemo Zanzibar.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post