AVUNJA REKODI YA KUVUA SAMAKI MWENYE UZITO WA KILO 34.

 

Mwanamume mmoja wa Uingereza mwenye umri wa miaka 38 Bw. Wayne Mansford amevua samaki  wa aina ya kamongo mwenye uzito wa kilo 34.


Mwanaume huyo amevunja rekodi ya kuvua samaki mkubwa zaidi aina ya kamongo nchini Uingereza, ambayo rekodi ya awali ilikuwa uzito wa kilo 30.6 hivi.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post