BREAKING NEWS- MAFURIKO YAKWAMISHA WASAFIRI BARABARA YA ARUSHA-DAR KUPITIA KILIMANJARO, MAGOGO NA VIFUSI VYAZUIA BARABARA ENEO LA KIA


Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa, Mvua kubwa inayoendelea kunyesha imesababisha wasafiri wanaotumia barabara kuu ya Arusha - Dar es salaam, kupitia Kilimanjaro wamekwama kuendelea na safari kwa zaidi ya saa mbili hadi sasa baada ya mafuriko kujaa barabarani pamoja na vifuko na magogo.Jitihada za kuwafuta viongozi wa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro inaendelea ili kujua taratibu wanazofanya ili kuruhusu magari kuendelea na safari

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post