RAIS DK SHEIN AONGOZA WANAVIKUNDI KATIKA TAMASHA LA SITA LA MATEMBEZI NA MAZOEZI ZANZIBAR.


Vikundi mbalimbali vya mazoezi vikipita eneo la Michenzani kisonge katika Tamasha la Sita la mazoezi ya viungo lililoanzia Ukumbi wa Sheikh Abdulwakil,Michenzani,Uwanja wa kufurahishia watoto Kariakoo,Matumbaku na kumalizia Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja. Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein katikati akiongoza Viongozi na Wananchi mbalimbali katika Tamasha la Sita la matembezi na mazoezi ya viungo lililoanzia Ukumbi wa Sheikh Abdulwakil,Michenzani,Uwanja wa kufurahishia watoto Kariakoo,Matumbaku na kumalizia Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja. Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein katikati akiongoza Viongozi na Wananchi mbalimbali katika Tamasha la Sita la matembezi na mazoezi ya viungo lililoanzia Ukumbi wa Sheikh Abdulwakil,Michenzani,Uwanja wa kufurahishia watoto Kariakoo,Matumbaku na kumalizia Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja. Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo alipotoa hotuba katika Tamasha la Sita la Matembezi na  mazoezi ya viungo lililoanzia Ukumbi wa Sheikh Abdulwakil,Michenzani,Uwanja wa kufurahishia watoto Kariakoo,Matumbaku na kumalizia Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja. Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post