
Ndege
hiyo inayomilikiwa na shirika la kimataifa la ndege la Ukraine
ilianguka muda mfupi baada ya kuanza safari katika uwanja wa ndege wa
Imam Khomeini mjini Tehran.
Ripoti za awali zinadai kuwa ndege hiyo ilikuwa safarini kuelekea mji mkuu wa Ukraine, Kyiv.
Haijabainika ikiwa ajali hiyo ina uhusiano wowote na mzozo wa Iran-na Marekani.