
Afisa
Mwandikishaji wa Jimbo la Dodoma Mjini anapenda kuwajulisha kuwa, zoezi
la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Kata zote za
Halmashauri ya Jiji la Dodoma linaanza hivi karibuni.
Katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura Vituoni, watatumika Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Opeators.
Hivyo anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi hizo:
Kwa
maelezo ya ufafanuzi wa Tangazo, Sifa za Waombaji wa nafasi (Waandishi
Wasaidizi na BVR Kit Operators), Majukumu yao na Mambo ya kuzingatia
wakati wa kutuma maombi.