KOCHA MKUU WA YANGA SC, MWINYI ZAHERA AFUKUZWA KAZI

Uongozi wa Klabu ya Yanga leo Jumanne Novemba 5,2019 umetangaza rasmi kumfuta kazi Kocha Mkuu wa timu hiyo Mwinyi Zahera pamoja na benchi lake lote la ufundi hadi walinzi wa timu hiyo.
Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Yanga Mshindo Msolla ambapo amesema Boniface Mkwasa atakaimu kama Kocha Mkuu wa muda.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post