WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa aanza ziara ya Siku tatu Morogoro, awasili IfakaraWaziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Steven Kebwe, wakati akiwasili katika makao makuu ya kata ya Ifakara, Wilayani Kilombero Septemba 14.2019. Waziri Mkuu yupo mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tano.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea taarifa ya Mkoa, kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Steven Kebwe, baada ya akiwasili katika makao makuu ya kata ya Ifakara, Wilayani Kilombero Septemba 14.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na uongozi wa Mkoa wa Morogoro, mara baada ya kuwasili katika makao makuu ya kata ya Ifakara, Wilayani Kilombero Septemba 14.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post