WATFORD WAIPOKONYA USHINDI ARSENAL DAKIKA ZA MAJERUHI

Roberto Pereyra akishangilia baada ya kuifungia Watford bao la kusawaziwsha dakika ya 81 kwa penalti ikitoa sare ya 2-2 na Arsenal kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo ambao ni wa kwanza baada ya Quique Sanchez Flores kurejea Vicarage Road. Mabao ya Arsenal yamefungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika za 21 na 32 wakati la kwanza la Watford limefungwa na Tom Cleverley 

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post