UZINDUZI WA MAFUNZO YA STADI ZA KAZI KWA VIJANA NA MAADHIMISHO...Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, wakati akiwasili katika viwanja vya Don Bosco, kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 ya ILO, jijini Dodoma, Septemba 14.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia vipuri vilivyo chongwa na wanafunzi wa Chuo cha Don Bosco Dodoma, kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia dawati lililotengenezwa katika Chuo cha Don Bosco Dodoma, kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mfano wa nyumba uliyojengwa na matofali ya kisasa ya kupachika , kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia ramani za nyumba zinazojengwa na matofali ya kisasa ya kupachika , kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Makamu Mkuu wa Shirika la Don Bosco Kanda ya Afrika, Augustine Sellam akizungumza, kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Makamu Mkuu wa Shirika la Don Bosco Kanda ya Afrika, Augustine Sellam akizungumza, kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza, kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post